Monday, August 6, 2012

Habari na matukio



 
Hawa ni mashuhuda wa ajari hiyo wakijaribu kuokoa baadhi ya majeruhi  
 Kushoto aliye lala chini  ni mmoja kati ya majeruhi akionekana pichani pembeni kulia ni pikipiki pamoja na mashuhuda wa ajari wakiwa eneo la tukio.
  


Ni jinsi anavyo onekana katika hali mbaya bila kupata msaada wowote kutoka kwa raia walio shuhudia tukio hilo

 Huyu ni abiria aliye kuwa amepakiwa katika pikipiki ambayo haikuwa na namba za usajiri, kama anavyo onekana pichani akiwa katika hali mbaya sana akijaribu kunyanyuliwa na msamalia mwema mmoja.

 Raia wema walio wabeba majeruhi katika ajari hiyo iliyo tokea katika eneo la ipagala emause mkoani dodoma mjini,iliyo sababisha na gari ndogo aina ya tax na pikipiki ambayo haikuweza kufahamika kutokana haijasajiriwa na serikali.

 Askari wa usalama barabarani akisaidiana na raia wema kuwapakia majeruhi katika gari double kibin wakiwa tayari kuwapeleka hospitari kuu ya mkoa General.


 Na hii ni gari ambayo iliweza kusababisha ajari kubwa ambayo namba zake za usajiri ni T138 AKP ni tax ya abilia ambayo inapiga safari yake hapahapa dodoma mjini.
 Hapo panapo onekana ni sehemu ambapo pikipiki iligonga na kuweza kuyumba na kusababisha ajari kubwa kufuatia watu wawili kukosa fahamu na kukimbizwa hospitari ya mkoa


 Na hii ni pikipiki waliyo kuwa wamepanda majeruhi ambayo ikionekana haina namba za  usajiri    

 Picha na Habari:Ambros La Swai na Paul Lawa

0 comments:

Post a Comment