MGAMNGA WA TIBA ZA ASILI ALIYE DAIWA KUWA TAPERI WA KUTUPWA HAPA MJINI AKIPATA CHA MTEMA KUNI NI BAADA YA KUSHUSHIWA KICHAPO CHA KUTOSHA KUTOKA KWA RAIA AMBAO HAWAKUFAHAMIKA KWA HARAKA
Mganga huyo ambaye alifahamika kwa jina la Dickson Gaba,ni mkazi wa hapahapa Dodoma katika kijiji cha pembezoni mwa halmashauri ya manispaa,alikuja hapa kwa ajiri ya kuendeleza huduma yake kwa jamii bila kujua alikuwa ameshawahi kuzurumu katika nyumba moja katika mtaa wa majengo Dodoma, lakini huduma hiyo ilimuendea vibaya baada ya kushitukiwa na kushushiwa mvua za mapanga kichani na sehemu zinginezo za mwili wake,baadhi ya raia walio kuwa eneo la tukio walisema jamaa huyo amezoea kwenda katika mtaa huo na kujifanya kuwa yeye ni mganga wa jadi akidai kutibu magonjwa ya aina mbalimbali kumbe alikuwa tapeli wa kutupa,lakini yeye alidai kuwa alipita tu katika eneo hilo na kuvamiwa na kupigwa vibaya,nanukuu mimi nimepanga katika nyumba furani ya kulala wageni
Picha na Habari:Paul Lawa

0 comments:
Post a Comment