Monday, August 6, 2012

Habari na Matukio


SHAMRASHAMRA AMBAZO ZINAENDELEA NANENANE MJINI DODOMA


 Kilimo cha umwagiliaji mjini dodoma kwenye maonesho ya nanenane zikionekana mbogamboga zinavyo kubari kilimo hicho katika maonesho
 Ni zao la sukuma wiki linavyo onekana pichani katika kilima cha umwagiliaji katika maonesho ya nanenane mjini dodoma
Hii ni nyumba ya asili ambayo imejengwa kwa ajiri ya maonesho ya nanenane mjini dodoma inavyo onekana pichani pamoja na utamaduni mbalimbali.

Picha na Habari:Paul Lawa na Ambros La swai

0 comments:

Post a Comment