AJARI MBAYA ILIYOTOKEA KATIKA ROUND ABOUT YA KUELEKEA MAIL MBILI MJINI DODOMA NI BAADA YA GARI KUBWA LA MIZIGO KUBWAGA MANYANGA BAADA YA KUANGUKA KATIKA ENEO HILO
Gari hilo ambalo lilikuwa likitokea katika barabara ya mwanza nakuelekea dodoma inn ilikwenda kupaki na kuendelea na safari yake kesho yake limekubwa na baraa hilo ni baada ya kupata ajari mbaya ambayo haikufahamika ilisababisha na nini mwendo kasi wa gari au vipi kwani hata wahusika waliokuwepo kwenye ndinga hiyo mhakuna hata mmoja aliye poteza maisha wala kujeruhiwa sana dereva na konda wake walikuwa salama sana tu katika ajari hiyo.
















.jpg)



0 comments:
Post a Comment