Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi makole dodoma wakiwa katika viwanja vya stadium katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF
Pichani ni baadhi ya watoa huduma ya kwanza(First Aid)wakionekana katika majukumu yao ya kulitumikia taifa katika uzinduzi wa TASAF,wakiungana na watu wa damu salama katika uzinduzi huo
Wanafunzi pamoja na walimu wao wa shule ya msingi ya Ipagala dodoma wakiungana na baadhi ya watanzania katika jukumu la uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF
Picha hizo juu ni uongozi mzima wa TASAF wakiwa katika hekeheke mbalimbali katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya shirika hilo la TASAF yaloyo fanyika mkoani dodoma
MsondoNgoma wakitumbuiza katika viwanja vya stadium mkoani Dodoma katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yaliyo fanyika mkoani dodoma kama wanavyo onekana pichani
Habari na Matukio:Paul Lawa

0 comments:
Post a Comment