MAELEZO YA PICHA
Makarani wa sensa (wawili katikati) wakijaza madodoso ya Sensa kwenye mtaa wa Ndaku kata ya Chamwino Manispaa ya Dodoma kama walivyokutwa na mpiga picha wetu.

karani wa Sensa (kushoto)
akichukua taarifa kutoka kwa mama mmoja na watoto wake ambaye hakuweza
kufahamika mara moja kwenye Mtaa wa Ndaku Kata ya Chamwino Manispaa ya
Dodoma kama walivyonaswa na kamera yetu.
Makarani wa Sensa wakipita kwenye moja ya mitaa waliyopangiwa kuhesabu na kuchukua taarifa katika Manispaa ya Dodoma leo hii.



0 comments:
Post a Comment