Friday, August 10, 2012

Habari na Matukio


 Hawa ni baadhi ya watu ambao wamepunzika na kupitiwa na usingizi kabisa katika eneo la Nyerere square mjini Dodoma kama wanavyo onekana katika picha hapo juu

Ni mama na watoto wake wamekuja angalau kupoteza mda katika eneo hili la Nyerere square pichani anaonekana mtoto wake mmoja akiwa kalala inaonesha ni jinsi gani watu wanavyo poteza muda katika mwezi huu wa ramadhani
 Jamaa ambaye hakuweza kufaamika ni baada ya kulala akiwa katika hali mbaya sana katika eneo la Nyerer square mjini dodoma akiwa katika swaumu kali sana na kupitiwa na usingizi mzito katiak eneo hilo
dah jamaa alikuwa hata ajitambui katika eneo hilo baada ya kuisi kama yupo kwenye godoro nyumbani kwake na kujigeuageuza akiwa katika mfungo mzito wa ramadhani mjini hapa eneo la Nyerer square dodoma

Picha na Habari:Paul Lawa

0 comments:

Post a Comment