Friday, August 10, 2012

Habari na Matukio

                                                         Sabasaba makole
                                                                      Sabasaba makole

                                                              Chadulu kata ya makole

                                                                  Makole ya CBE
Baada ya mshikemshike mkamate katika harakati za kutafuta haki za wasanii mkoani Dodoma,ilianza katika kata mbalimbali mkoani hapa, limeingia doa ya aina yake,Maaramia hao ambao waliokuwa wakiwanyonya wasanii kwa kutengeneza CD feki na kuziuza kwa kujinufaisha wenyewe,Msama promotion yaingilia kati swala hilo na kuleta balaa kwa maaramia hao,katika sehemu walizo kuwa wakifanyia shughuli zao zaingia gundu baada ya kuonekana mda mrefu kuwa wazi lakini sasa wanaingia katika stop point zao kwa kuvizia tena wakati wa usiku ili kuweza kujipatia liziki,katika kipindi kirefu nimepita katika stop point zao angalau kupata mawili matatu  lakini kwangu ilikuwa hola 

Picha na Habari:Paul Lawa

0 comments:

Post a Comment