Saturday, August 18, 2012

matukio machinjioni leo


KIZAAZAA MACHINJIONI MKOA WA DODOMA,WENGI WAJERUHIWA,DAKTARI WAMACHINJIO AKATWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI

 Machinjioni leo pazuka mkasa wa ajabu na ugomvi mkubwa sana uliosababisha na madai mbalimbali ya wachinjaji hao.
Baada ya wengi kuchinjanachinjana katika bustani ya machinjio mkoani dodoma.
baadhi ya watu wengi wamejeruhiwa vibaya akiwemo daktari wa machinjioni hapo aliye fahamika kwa jina la Dr.Rebalema ambaye mpaka sasa yupo katika hospital kuu ya General dodoma,Akiwa kajeruhiwa vibaya mno balaa hilo lilifika mpaka daktari huyo kukatwa sehemu zake za siri na kufikia kumuondoa korodani moja inatisha vibaya inaombwa serikali kulinda sana maeneo hususani ya machinjio katika kipindi hiki ilikuzuia maafa ya hapa na pale katika sehemu hiyo ya machinjio Dodoma wanaomba sana wananchi hao kulishughulikia swala ilo kwani machinjioni hapo sio mara ya kwanza kutokea swala hili.

Habari na Matukio:Paul Lawa

0 comments:

Post a Comment