NI BAADA YA SHEHEH MKUU WA MKOA WA DODOMA KUTANGAZA SIKU KUU YA IDD MKOANI HAPA ATUELEZA HAYA
Aeleza kuwa mwenzi umeandama katika mikoa mbalimbali ukiwemo mkoa wa Tanga,Zanzibar nanukuu hivyo basi siku kuu ya idd itakuwa siku ya jumapili sheheh huyo aeleza wazi katika mskiti wa gadafi mkoani Dodoma leo

0 comments:
Post a Comment