Wednesday, August 22, 2012


KITUO KIPYA CHA UCHANGIAJI DAMU SALAMA CHAFUNGULIWA DODOMA

Dr. Leya Kitundwa mkuu wa kituo cha damu salama mkoa wa dodoma kilicho funguliwa tarehe 14/06/2011 na kufanyiwa sherehe rasmi za uzinduzi huo tarehe 21/08/2012 siku ya uchangiaji damu kitaifa ilifanyika Dodoma ambacho kipo kanda ya mashariki

0 comments:

Post a Comment