BL HYDRAFORM KATIKA MAENEO YA KAZI VIWANJA VYA NANENANE MJINI DODOMA
Hapa ni vijana wakiwa katika kazi siku ya nanenane wakiwa na mashine yao ambayo inaweza kukufikia ewe mteja wao kokote uliko
Wakionesha jinsi ya kuchanganya udongo pamoja na cement kama inavyo onekana pichani
Kama unavyo ona ni matofari ya BL HYDRAFORM na kufanya nyumba yako ikiwa bomba kabisa na muonekano mzuri sana
Yanayo onekana ni matofari yakiwa kwenye mstari na muonekane wake unavutia sana
Yakiwa yamepangwa tayari kwa kujengewa
Ni matofari imara ambayo hayana garama kubwa matofari haya hayahitaji cement nyingi wakati wa ufyatuaji na wakati wa ujenzi mashine ya BL HYDRAFORM inafyatua zaidi ya tofari elfu tatu kwa siku,tumia matufari haya kwa ulinzi mzuri wa nyumba yako kwa kuboresha mazingira mazuri ya nyumba tumia matofari ya BL HYDRAFORM leo.
Habari na Paul Lawa

0 comments:
Post a Comment