DR.
NCHIMBI ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI KILIMO MAKUTUPORA KUKAGUA MRADI WA UTAFITI
WA MBEGU BORA YA MAHINDI INAYOTUMIA MAJI KWA UFANISI ITAYOSTAWI VIZURI MAENEO
YA KANDA YA KATI
Afisa Kilimo Mtafiti na Mratibu wa Mradi wa utafiti wa mbegu za mahindi zinazotumia maji kwa ufanisi hapa nchini Dr. Alois Kullaya (aliyeshika mahindi) akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi mahindi yaliyotokana na mbegu wanazozifanyia utafiti kwenye kituo cha Makutupora Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akiangalia mahindi yaliyozalishwa kwa kutumia mbegu bora zenye kutumia maji kwa ufanisi zinazoendelea kufanyiwa utafiti na kituo cha utafiti mazao Makutupora Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Utafiti na Maendele Kanda ya Kati Bw. Leon Mrosso.
Baadhi ya Wafanyakazi wa kituo cha utafiti mazao Makutupora wakivuna mahindi yaliyozalishwa kwa kutumia mbegu bora zenye kutumia maji kwa ufanisi zinazoendelea kufanyiwa utafiti na kituo hiko.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi na ujumbe wake akiwa ameambatana na maafisa kilimo watafiti wa kituo cha utafiti mazao Makutupora Dodoma wakitembelea shamba la mahindi yaliyozalishwa kwa kutumia mbegu bora za mahindi zenye kutumia maji kwa ufanisi zinazoendelea kufanyiwa utafiti na kituo hiko cha Makutupora.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha utafiti mazao Makutupora na baadhi ya wakulima wa vijiji vya Mchemwa na Veyula vinavyozunguka kituo hiko wakati alipofanya ziara kwenye shamba la utafiti wa mbegu bora za mahindi zenye kutumia maji kwa ufanisi kituoni hapo jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha utafiti mazao Makutupora na baadhi ya wakulima wa vijiji vya Mchemwa na Veyula vinavyozunguka kituo hiko wakimskiliza Mkuu wa Mkao wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (hayupo pichani) alipozungumza nao wakati alipofanya ziara kituoni hapo jana kukagua shamba la utafiti wa mbegu bora za mahindi zenye kutumia maji kwa ufanisi.
Habari na Paul Lawa

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma akiwa
kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kituo cha utafiti mazao Makutupora na baadhi
ya wakulima wa vijiji vya Mchemwa na Veyula vinavyozunguka kituo hiko mara Dr.
Nchimbi alipomaliza kukagua shamba la utafiti wa mbegu bora za mahindi zenye
kutumia maji kwa ufanisi kituoni hapo.
Baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha utafiti mazao Makutupora na baadhi ya wakulima wa vijiji vya Mchemwa na Veyula vinavyozunguka kituo hiko wakimskiliza Mkuu wa Mkao wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (hayupo pichani) alipozungumza nao wakati alipofanya ziara kituoni hapo jana kukagua shamba la utafiti wa mbegu bora za mahindi zenye kutumia maji kwa ufanisi.
Habari na Paul Lawa

0 comments:
Post a Comment