Friday, August 24, 2012

Tanzania kweli tunaweza

 Mr. Ntobi Mkurugenzi msaidizi urushaji wa matangazo ya Televisheni  akiwa katika ofisi za Dodoma Fm 98.4 akizungumzia mabadiliko ya mfumo wa urushaji wa matangazo kutoka analogia kwenda digitali,
  Isaac Mruma akiandika swali kutoka kwa wasikilizaji wa Dodoma Fm 98.4 katikati ni Victor Nkya na kulia kwake ni Mr. Ntobi Mkurugenzi msaidizi TCRA
Victor Nkya akijibu hoja ya baadhi ya wasikilizaji wa Dodoma Fm 98.4 na kulia kwake ni Mr. Ntobi

0 comments:

Post a Comment