RC DODOMA AWAAGIZA MADIWANI WA MKOA WA DODOMA KUHAKIKISHA SENSA INAFANIKIWA KWA ASILIMIA MIA
MAELEZO YA PICHA
Madiwani wa Wilaya zote saba za Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Dr. Rehema Nchimbi (hayupo pichani) wakati wa kikao baina yao juu ya Sensa ya Watu na Makazi.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na Madiwani kutoka Wilaya zote saba za Mkoa wa Dodoma juu ushiriki wao katika kufanikisha zoezi la Sensa kwa asilimia mia katika Mkoa wa Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akifafanua baadhi ya maswali yanayopatikana kwenye madodoso ya Sensa na maana zake kwa Madiwani kutoka Wilaya zote saba za Mkoa wa Dodoma wakati alipokutana nao leo hii.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akibadilishana mawazo na baadhi ya madiwani mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yake na madiwani hao.

0 comments:
Post a Comment